TUNDA MAN “WANAPEANA DEAL ZA MATANGAZO KISHKAJI”

tunda

Mama kijacho ndio wimbo wake unaofanya vizuri katika media haouse tofauti tofauti hapa Tanzania. Tunda man ambaye video ya wimbo wake mama kijacho ameifanya tofouti na vile wengi walivyotarajia.

Tunda man mapema leo hakusita kuweka wazi hisia zake juu ya kazi za matangazo wanazopewa wasanii katika nyakati hizi zinazoonekana kuwafaidisha katika hali zao za kimaisha.

Tunda amesema “Watu wanapeana deal kishikaji tu,iko wazi watu wapo na maslahi. Mfano mimi niliwahi kufanya show na kampuni moja na baadae nilitakiwa kufanya tangazo, lakini lile tangazo alipewa mtu mwingine eti mimi waliambiwa sipo nimesafiri nipo Marekani.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

 

Source Planet Bongo Story 3 Earadio