TUNDA MAN AKAMILISHA KAZI MBILI ZA KIMTAIFA

TUNDAMAN1
Mama kijacho ni kazi yake inayofanya poa tangu itoke mapema mwezi huu.Kazi hiyo iliyofanywa chini ya studio ya A.M recods chini ya uongozi wake Manecky.
Tunda man ambae anwakilisha kundi la Tip top connection,hakusita kuongelea kazi zake zinazokuja baada ya hii ya mama kijacho.Tunda alisema”Nina kazi mbili za kimataifa na zote zimekamilika video na audio,nimemua kuvuka kwenda mbele zaidi.Ila kazi hizi mbili zitatoka mwezi wa pili mwakani mungu akitujalia.”Tunda hakuwa tayari kusema amefanya na nani kazi zake hizo.
Kaa karibu na tizneez.com uwe wa kwanza kujua pale tu kazi zinapotoka.