“Tunaomba watu waweze kujitolea juu ya Cjamoker”

“Tunaomba watu waweze kujitolea juu ya Cjamoker”

Team Tizneez imekuwa ikitoa hali ya muendelezo wa afaya kila mara juu ya mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya ambaye alifanyiwa upasuaji takribani mara 4 wiki mbili zilizopita katika hospitali ya Temeke.

Lakini sasa amehamishiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo P The Mc anatueleza namna ya msanii na mtayarishaji Cjamoker jinsi anavyoendelea na yale ambayo yanatakiwa.

Sikiliza hapa chini sauti ya P The Mc

Namba ya kumchangia ni  0717 254 451  Jina ni Cleofas YessayaUnaweza kutuma mchango wako hapa kama ni shabiki wa muziki wa kizazi kipya.

 

Attachment