TOP TEN MC’OF ALL TIMES TZ By NIKKI WA PILI

nikkiwapili2
Rapper kutoka Weusi kampuni Nikki wa Pilli ambae kupitia mtandao wa picha Instagram alipost top ten yake ya mc’off all times kutoka hapa nyumbani tz.
Katika top ten hiyo msanii wa kwanza ni
Mr II Sugu
Prof Jay
Arbert Mangweir
Joh Makini
FA
Fid Q
AY
Lord Eyez
Jay Mo
Nikki wa pilli
Hiyo ndio Top ten mc off all times kutoka kwa msanii Nikki wa Pilli