Tofauti mbili za Songa alipoanza muziki na alipo sasa.

Maneno ni mengi juu ya muziki wa msanii wa hiphop Songa, ambaye sasa amekuwa akipata changamoto kutoka kwa mashabiki juu mabadiliko yake ya kimuziki.
Ambapo Team tizneez imezungumza na Songa na kuamua kuweka wazi yote ambayo mashabiki juu hoja zao.
Sikiliza hapa chini.