Times Fm yaomba radhi Wizara, Tcra, Basata, na umma kwa kauli Diamond Platnumz

Kituo cha Radio Times Fm kimetoa barua ya wazi katika kuweka sawa ukakasi uliopo sasa baada ya kufanya mahojiano na msanii Diamond Platnumz wiki kadhaa nyuma.

Kupitia mtanda wa Twitter kwenye ukurasa wake wa Times Fm waliweka barua hiyo.

Isome hapa