Tifa Flow Afafanua kauli ya Nikki Mbishi

Capture

Baada ya msanii mkali wa hiphop Nikki Mbishi kusema “Wasanii wa kike wananafasi kubwa ya kufanya vyema lakini anashangaa mkwamo wao sijui unatoka wapi, maana hata katika tamasha la kila jumamosi msasani nawapa nafasi za upendeleo lakini hakika hawaonyeshi uwezo.

Msanii wa hiphop Tifa Flow ni moja kati ya wasanii waliopewa nafasi, ambapo hakusita kueleza mkwamo wao unatakona na nini hata kuchambua kauli ya msanii Nikki Mbishi.

Msikilize hapa chini.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez