TID AMSAINI KR MULLER

image230

Mnyama Tid ambaye ni miongoni mwa wasanii waliochonga njia mpaka hapa bongo fleva ilipofika na kuonekana kuwa ni ajira inayoweza kuendesha maisha ya walio wengi.

Tid ni mmiliki wa kampuni ya Radar Entertainment ambayo kwasasa imekuwa ikisaini wasanii mbalimbali na kuwasaidia katika kazi zao za muziki.

Bill Nas ni moja kati ya wasanii walioko chini ya Radar na kwasasa anafanya vizuri na ngoma yake ya Ligi ndogo aliyomshirikisha mkali Tid.

Tid mnyamahakusita kuweka wazi kuhusu kumsaini Kr muller ambaye zamani alikuwepo kundi la Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi na baadae kuwa msanii anayejitegemea.Kupitia kipindi cha Fnl cha EATV mkali Tid alisema”

“Nimemsaini Kr Muller sasa katika Radar,na kilichofanya nimsaini jamaa ana uwezo mkubwa. nilikuwa nae katika tour ya Mtwara kipindi cha uchaguzi kila mahala tulipopita watu walikuwa wakimshagilia Kr mullerf.Hii ikanionyesha ukubwa wake na kuona kuna haja ya kuwa ne na kufanya nae kazi.Hata hivyo sasa wapo wasanii wengi chini ya Radar.

www.tizneez.com

twitter tizneez

instagram tizneez

facebook tizneez