Tid Amtembelea Mh Paul Makonda nyumbani kwake.

Tid Amtembela Mh Paul Makonda nyumbani kwake.

Baada ya sekeseke juu ya matumizi ya madawa ya kulevya ambapo Mh Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Paul Makonda ambaye alianzisha  na anaendelea na mapambano kwa wauzaji pamoja na watumiaji.

Ambapo katika sakata hilo liligusa wasanii wengi akiwemo Tid. Ni siku chache tu zimepita tangu Tid na wenzake kupata dhamana na kuwa chini ya uangalizi zaidi.

Mapema leo kupitia matandao wa picha msanii Tid ameposti picha na kuandka “Muziki bila Madawa ya kulevya inawezekana…This is the turning Point kwangu mimi na kizazi cha mziki huu wa kizazi kipya,nikiwa na Mh.Makonda leo tukijadili Jinsi gani ya kuokoa Vipaji na Sanaa kwa ujumla,Mungu ibariki Bongo Fleva,Mungu Ibariki Tanzania”

 

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa