Tanzia! Msanii wa muziki wa hiphop Godzillah afariki Dunia.

Tanzia! Msanii wa muziki wa hiphop Godzillah afariki Dunia.

Ni alfajiri ya 2019.13.2 ambapo ahadi ya kifo kwa GodZillah imetimia. Kwa maana ya msawahili hunena yakuwa “Kifo ni ahadi ambayo kila binadamu atatimiza”

Ambapo sasa mwili wake umehifadhiwa katika hospitali ya Jeshi Lugalo, wakati kifo chake kimetokea nyumbani kwao Salasala. Pole zetu ni kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki, Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. (Ameni)

#MuzikiNiSisi