Tanzia! Jay Mo afiwa na baba yake mzazi

TANZIA! Msanii wa muziki wa kizazi kipya Jay Mo amefiwa na baba yake mzazi Mzee wetu Baba Mohaméd Mchopanga kilichotokea leo Mbagala.

Na Shughuli za mazishi zitakuwa Magomeni Mikumi.

Taarifa kamili tutaendelea kujuzana kadri muda unavyokwenda.

Nasi twasema pole kwa Jay Mo na familia yako lakini jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu.

Ilihali twapenda kusema usifedheheke kifo hichi maana “Hata kufa ni kuishi, ilihali ni katika kifo”

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihidimiwe.

Na apumzike kwa Amani mzee wetu Mohamed Mchopanga.