Tangazo la Nisher kwa mashabiki wake

396860_341849809229918_1890334069_n

Tangazo la Nisher kwa mashabiki wake

TANGAZO: Hii ni kwa Mashabik wangu wote na watu wote wanaonifatilia katika mitandao ya kijamii… Kuna Group la matapeli wanaotumia Jina langu “NISHER” kuwatapeli Watu na Kuchukua Pesa zao na hivyo kuniharibia Sifa Yangu kwa watu wanao niamini, Hawa watu wamefungua Accounts Facebook Instagram, Snapchat na Twitter Na kuwatapeli watu kwa kujifanya wao ni mimi, walio tapeliwa ni wakiwemo Waigizaji wa Bongo movies, Wasanii wa mziki, na Models yani Video Queens….Hawa watu wanawaendea Wasanii na Kusema Ni wadogo zangu, au meneja wangu, au agent, au mwanafunzi wangu, au ndugu wakaribu……. KITU AMBACHO SIO KWELI KABISA, MIMI WALA TEAM YANGU HATUFUATI WATU KUWAOMBA PESA, WATU WANATUFUATA SISI KUFANYA KAZI…… !!!!! ….Hili limenikwaza sana kuona Kumbe maranyingine watu wananiona Mbaya kumbe nachafuliea na Wajinga Flani hivi hawana Kazi wala Jina Mjini kazi kutumia Majina ya Watu wenye Majina ili wale…… NA SASA MIMI NA TEAM YANGU TUTACHUMCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA MTU YEYOTE ATAYE GUNDULIKA ANATUMIA JINA “NISHER” KUTAPELI WATU……….!!!!!! ACCOUNT YANGU ILIYOPO ACTIVE NI HII HAPA (@NISHERX) HIVYO UKIFUATWA KWINGINE (FACEBOOK/TWITTER/SNAPCHAT) SIO MIMI.
TAFADHALI TOA REPORT UKIMGUNDUA MTU ANAYETAKA KUKUTAPELI, KWA NAMBA HIZI 0684561558……. Asanteni!