SWALI LA NIKKI WA PILI NA JAY MO LAJIBIWA NA P FUNK

IMG_2183
Maswali haya yaliulizwa katika semina ya wasanii wa bongo fleva na hiphop katika semina ya Cosota na MCEA
USER0021
Swali la Nikki wa pili


Swali la Jay mo
Majibu aliyotoa P funk Majani kutoa Mcea

Majibu aliyotoa CEO wa cosota pia

Hii ilikuwa jana katika semina iliyokutanisha wasanii wa bongo fleva na hiphop pamoja na wadau wa cosota pamoja na Mcea.