SUMA MNAZALETI ATOA USHAURI WAKE KWA WATANZANIA

suma_mnazaleti

Interview hii ilifanyika jumamosi katika ukumbi wa king solomon ambapo kulikuwa na tamasha la fashion for peace licha ya kutoa burudani ila pia ilitolewa elimu juu ya uchaguzi ambapo ni siku 5 sasa zimebaki hivyo watu wachague viongozi wa ngazi zote kwa amani.

Unaweza kuwa rafiki yetu

facebook.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/tizneez