Stereo Atoa shukrani kwa Fid Q

IMG_3246

Stereo Atoa shukrani kwa Fid Q

Huwezi kutaja wasanii bora wa hiphop bila kumtaja Fid Q. Walk it off ni wimbo wake unaofanya vyema kwenye media za ndani na nje ya nchi.

Nasema ninachojua ni wimbo wake Stereo ambao alimshirikisha Fid q. Na kwa kuthamini kipaji cha Stereo msanii Fid Q ndiye ambaye amelipia video ya wimbo huo.

Akiongea na Team tizneez Stereo alisema “Video ya Nasema nachojua amefanya mdachi, shukrani kwa Fid q maana ndiye aliyemleta jamaa bongo kwa gharama kubwa tu na amelipia kila kitu kwenye hii video. Najiona mwenye bahati unajua fid Q ameniinspire, lakini pia wasanii wengine ambao wana uwezo wa kumsaidia mtu wawe wanajitoa si lazima awe anajulikana hata wale vijana ambao wapo mtaani zaidi

Ila nichukue nafasi hii kumshukuru Fareed popote alipo namshukuru sana” Alisema Stereo.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez