STARA THOMAS AZUNGUMZIA WASANII WA KIKE WA SASA

stara_thomas

Legend Stara Thomas ambae hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya unaoitwa beautiful love song ambao ameachia audio na video kwa pamoja.

Wakati akitambulisha wimbo huo hakusita kuzungumzia wasani wa kike ambao wanafanya vizuri kwasasa.Stara amesema”Wanajitahidi na wanafanya vizuri licha ya kuwepo kwa mapungufu machache,kama kukosa mwanamuziki mkongwe wa kike wa kuwaongoza lakini si kitu kibaya wanafanya kazi zao vizuri tuLicha ya changamoto za uvaaji labda lakini najua watabadilika tu.So nawapongeza kabisa kwa kazi nzuri.

Pia siku ya chrismas nitaachia wimbo wangu mwingine.”