STAMINA NA ALBAM YA MOUNT ULUGURU

STAMINA

Rapper tokea pande za Mji kasoro bahari Moro town Stamina ambaye pia ni kinara katika muziki wa bongo hiphop hasa katika uandishi wake wa mistari.

Stamina ambaye sasa ameamua kutangaza tarehe rasmi ya kutoka kwa albam hiyo ya Mount Uluguru ambayo mashabiki wake wamesubiri kwa muda mrefu.

Stamina ameamua kuweka wazi kwamba albam hiyo rasmi itatoka tarehe 21/1/2016 na itauzwa kwa tsh elfu 5000 ikiwa ina nyimbo 20 kamili na bonus track nyimbo 6 ambazo pia nyingine zitakuwa mtandaoni.Kwa mahitaji ya albam na maulizo yote piga namba 0714 675 914

Albam cover chini hapa itazame

sa

www.tizneez.com

twitter tizneez

instagram tizneez

facebook tizneez