SONGA AKAMILISHA ALBUM YAKE

141202104119-songa-mdundo-horizontal-large-gallery
Hisia za moyo ni ngoma yake inayofanya poa kwasasa katika media mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi pia.Songa ambaye pia ni miongoni mwa wasanii waliowahi kupata tuzo za mdundo kutoka kenya kwasabbu ya kupata wtu wengi wanapakua nyimbo zake kutoka katika mtandao huo.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Songa ameandika “Nikimalizia album ya mwakani,album ya Mwaka huu imekamilika na itatoka mwezi huu huu Mungu akipenda” lakini hakuishia hapo licha kupost kitu kingine na kusema”TSiku chache zilizopita niliona baadhi ya wasanii wakitaja wana hip hop wao bora wa muda wote hapa Tz,chakushangaza asilimia kubwa list zao zilikuwa zinasikitisha na kuchekesha pia na hii labda ni sababu nishawasikia wakitaja watu tofauti na wanaowataja katika vipindi tofauti.Tuache hao ni mawazo yao ambayo kila mmoja anaweza akawa nayo,
Ingekuwa list yako ya top ten ya wasanii bora wa hip hop wa muda wote ungemuweka nani na nani???”

Tufuate twitter@tizneez
instagram @tizneez
tupatie list yako ya wasanii wako wa hiphop 10 wa muda wote na sisi tutaipost.