SONGA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

index
Hisia za moyoni ni ngoma yake inayofanya vizuri katika media mbalimbali.Wimbo huu ambao amemshirikisha mkali Dabo ambapo katika mashairi yake amezungumzia mambo mengi ya kimaisha yanayogusa jamii za kitanzania hususani maisha ya mtaani.
Songa ni msanii wa hip hop anaewakilisha label ya Tamadun Music.Mapema leo hii msanii Songa amepata msiba wa baba yake mzazi ambapo mpaka sasa bado haijasemwa kile kilichosababisha kifo cha mzazi wa msanii huyo.Msiba upo mkoani Singid, Team tizneez inatoa pole kwa songa na wote walioguswa na msiba huu.Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihidimiwe Amen.