Songa Aeleza uwezo wake wa kufanya filamu.

141202104119-songa-mdundo-horizontal-gallery

Songa Aeleza uwezo wake wa kufanya filamu.

Ni moja kati ya washiriki walioshiriki katika filamu ya Bongo na Fleva. Ambayo muhusika mkuu katika filamu ni One Incredible.

Songa ni moja kati ya washiriki walionekana katika filamu hiyo. Ni wazi waliowengi walivutiwa na muonekano wake licha kuonekana katika vipande vidogo.

Akiongea na Team tizneez amesema “Kwanza sikutaka kushirikia katika filamu, maana sina uzoefu katika mambo haya. Lakini kwa uchache ule watu wamefurahia na wamependa kwahiyo inaonyesha ni kitu ambacho nina uwezo wa kufanya na kuendelea.

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez