SOLO THANG “YEYE NIKK WA PILI HASTAHILI KUWEPO KWENYE LIST”

index
Ni siku chache tu zimepita tangu msanii kutoka Weusi kampuni Nikki wa pili kutaja list ya best mc’of all times ambapo katika list hiyo alimtaja,Mr II sugu,Prof Jay,Mwana FA,AY,Joh Makin,Fid Q,Lord Eyez,Arbet Mangweir,Jay mo na yeye mwenyewe Nikki wa pili
List hiyo ambayo imeonekana kugusa watu wengi hasa wapenda muziki wa hiphop,licha ya team tizneez kuzungumza na wasanii wengi wa hiphop na kuonekana kukataa kujibu chochote juu ya list hiyo,lakini kwa msanii Solo Thang yeye imekuwa tofauti maana alitoa mtazamo wake kapitia mtandao wa twitter ambapo alisema”hiyo siyo list ya kwanza kuiona Nikki mbishi pia alifanya yake pia sioni faida ya kufanya yangu.Mc’s wengi kwenye list zao wepesi.It just a matter of opinion katumia fursa yake,kosa ni nyie kumchukulia seriouz kama ni fact au statement kuhusu mziki wa hiphop.Na hiyo list ni opinon yake #Nick wa pili not a statement yaa bongo hiphop kuna zaidi ya nusu akiwemo na yeye mwenyewe hastahili kuwepo.”alisema
solo
Pia katika tamasha la Graffiti event lilifanyaika hivi karibu maeneo ya mikocheni nafasi arts ambalo liliudhuriwa na mc’s wengi wa hip hop mmoja kati mc wa hiphop ambaye hakutaka jina lake liandikwe alisema”dogo amefanya kupata kick so amepata maana amepata interview nyingi.Lakini sidhani kama anajua maana Mc’s kwenye hip hop,tuachie hapo Batro tuzungumze vitu vingine ila kujiweka yeye ni bora hata angekuwa One incredible amefanya watoto wengi tu wa rap nenda kwenye matamasha ya hiphop uliza vijana watakwambia ila tuyaache tufanye yaliyotuleta hapa kwenye Graffiti event.Alisema
Mwisho.
twitter@tizneez
instagram@tizneez