“SIUMIZWI KICHWA NA WASANII” NEY WA MITEGO

IMG_2614

Shika adabu yako ndio wimbo wake unaofanya vyema katika mitandao (blog) nyingi na hii ni baada ya kufungiwa kachezwa katika media, ambapo uamuzi huo ulitolewa na BASATA baada ya kuonekana wimbo huo hauna maadili ya kuchezwa katika media house. Licha ya kuwepo kwa baadhi ya media kubwa kuuendela kucheza wimbo bila uwoga wowote ule.

Mapema leo kupitia mtandao wa picha instagram ambao sasa umekuwa ni mtandao maarufu kwa watu mbalimbali kuweka mitazamo yao juu ya mambo mengi yanayoendelea.

Nay wa mitego hakusita kuandika mtazamo wake ambapo aliandika “Siumizwi kichwa na wasanii wanao ni Diss, nachanganyikiwa nikijua nimepoteza Shabiki wakweli ata Mmoja.!! Sitaki kua Msanii mkali Kama watakavyo wao, Mashabiki wangu wana Enjoy ninachofanya najivunia kuwa na Fans wengi. Wanajisifia Ukali na wanakufa njaa. #ShikaAdabuYako Imewapa Stress Daaaah #MasterMindScolfild #Team966MoneyMakers #MoneyMusic966

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez