SIKILIZA MC PILIPILI AKIZUNGUMZIA TUHUMA ZA LULU

Mc-Pilipili
Baada ya kile kinachoendelea Instagram kuonekana kutowafurahisha baadhi ya mashabiki wa Mwigizaji Elizabeth Michael, Maarufu kama Lulu na tukio zima linalilotokea jana, Team Tizneez iliamua kumtafuta Mc Pilipili kwa njia ya simu na haya ndio yalikua maelezo yake kuhusiana na tuhuma nzima anazoonekana kuzushiwa Lulu, Bonyeza kusikiliza