Sijutii ya Wakazi na Ruby yasogezwa mbele.

Sijutii ya Wakazi na Ruby yasogezwa mbele.

Wiki kadhaa nyuma Team Tizneez tuliweka picha juu ya utengenezaji video ya sijutii remix ambayo ni wimbo wa Wakaza akimshirikisha Ruby.

Mapema leo Wakazi ameiambia Team Tizneez kuhusu video hiyo ambapo amesema “Video ya sijutii imebidi isogezwe mbele mpaka wiki ijayo. Na hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

 

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez