“Sijui lolote juu ya Baraka Da Prince na Lord Eyez” Joh Makin

“Sijui lolote juu ya Baraka Da Prince na Lord Eyez” Joh Makin

Waya ni wimbo wake ambao umeendelea kumfanya aendelee kuonekana bora katika kundi la marapa waliopo chini ya mwamvuli wa hiphop.

Pia Joh Makin ni moja kati ya wasanii watano ambao wanaunda kampuni ya Weusi. Ambapo katika kampuni yupo na wasanii wenzake ambao ni, Nick wa pili. Gnako, Lord Eyez, na Bonta Maarifa.

Joh Makini amezungumza kuhusu Lord Eyez alipokuwa anajibu maswali katika kipindi cha Friday Night Live, ambapo Joh amesema “Siwezi kuzungumza juu ya Lord Eyez na kama amesaniwa na Baraka da prince kiukweli sijui lolote juu yao. Na kuniuliza mimi ni kama una nionea, na Lord Eyez yupo hivyo unaweza kumcheki  akazungumza.

Pia watu wajue sisi na Lord Eyez tupo sawa we family hakuna tatizo lolote lile.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Attachment