“Sifanani na Godzilla” Bill Nas

mqdefault

“Sifanani na Godzilla” Bill Nas

Ni moja kati ya wasanii chipukizi wanaofanya vyema sasa katika ramani ya muziki wa kizazi kipya.Raha ni wimbo wake ambao ulimtambulisha vyema na baadae kufuatiwa na ligi ndogo na sasa Chafu pozi.

Bill Nas hakusita kuiambia Team tizneez ambapo alisema “kwa ufupi mimi naaamini mimi sifanani na Godzilla kabisa. Kila nikisikiliza muziki wangu sioni kama kuna angle yoyote nafananae, ila hata kuzumgumzia marapa ambao nawakubali nishamtaja sana Godzilla”

SOMAHAPA JINSI TEKNOLOJIA INAVYOPIGA TAFU MZIKI WETU

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez