Shetta Aamua kuwa tofauti zaidi

Shettakororobo

Namjua ni wimbo wake unaofanya vyema katika vituo vya radio na runinga hapa nchini. Shetta ambaye ni wazi ameonekana kubadilika katika kila wimbo na kuzidi kukonga nyoyo za mashabiki wa bongo fleva walio wengi.

Mapema leo Shetta hakusita kueleza jinsi alivyorudi kiutofauti hasa katika muziki huu ambao sasa umeonekana kuwa na mambo mengi yenye ushindani. Shetta amesema “Kwanza kabisa nazindua kampuni yangu pia itakuwa na logo na hata kuwa dj wangu binafsi.”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez