SHAA “ATANGAZA KUFANYA KAZI NA MSAGA MSUMU”

shaa

Malkia wa uswazi Sara Kaisi maarufu kama Shaa,ambaye zamani alikuwa anaunda kundi la Wakilisha lilikokuwa na wakali watatu Witnes,Shaa pamoja na marehemu Langa.

Shaa Amesema”Nina mipango mingi tu ya kufanya kazi na wasanii wengi tu ila wa kwanza atakuwa Msaga Sumu,Unajua watu wanaweza wakawa wanamchukulia Msaga ni wa kawaida but kwangu ni International.So nakwenda kupiga nae kazi na itakuwa nzuri tu.

Ila pia nina kazi nyingine nimefanya nje ya nchi ila sipo tayari kuzizungumzia kwasasa.Watu waendelee kusubiri.”

Twitter@tizneez

facebook @tizneez

instagram @tizneez