Shaa Ataja wimbo wa zamani bongo fleva unatakiwa kurudiwa.

Shaa-1021x580

Shaa Ataja wimbo wa zamani bongo fleva unatakiwa kurudiwa.

Ni moja kati ya wasanii watatu waliokuwa wanaunda kundi la “Wakilisha” ambapo kundi hilo alikuwepo Witnes, marehemu Langa Kileo pamoja na yeye Shaa.

Shaa hakusita kuweka wazi ngoma moja ya zamani katika muziki wa bongo fleva ambayo anaiona bora wakati wote. Shaa alisema “Kiukweli wimbo wa Daz Baba Feat Ngweair ni wimbo mkubwa sana, na pia ni wimbo ambao ukirudiwa kwa miaka hii utafanya vizuri. “

Je wewe ni wimbo gani unapenda urudiwe? Tupe maoni yako chini hapa.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez