Sasa ni wakati wa Mc Jully

Sasa ni wakati wa Mc Jully

Singeli imeendelea kukua na kuonekana sasa ni muziki ambao umeweza kupewa air time ya kutosha kwenye vituo vya radio.

Ikiwa wasanii wengi wa singeli wameendelea kufafana katika uimbaji msanii Mc Jully amekuja na maboresho machache katika aina ya uimbaji wake.Lakini pia katika swala zima la video.

Mc Jully mwenye ni msanii wa singeli ambaye ameweza kuuteka Mji wa Morogoro sasa.

NI wazi sasa ni zamu yake katika anga ya muziki wa singeli, mengi mazuri yanakuja kutoka kwake. Kaa karibu na Tizneez uwe wa kwanza kufahamu.

 

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez