Sallam Sk Aweka wazi vigezo vya kufanya kazi na Diamond Platnumz

p031h93x
hii ni sauti ya Meneja wa Diamond Platnumz akiongelea vigezo vya msanii kufanya kazi ni msanii wake Diamond, hata hivyo ameongea mengine mengi msikilize hapo chini.

Hta hivyo mapema leo msanii Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshiriki pekee kutoka Afrika Mashariki katika tuzo za BET AWARDS 2016. Na amekuwa mshiriki wa kugombea kipengere cha Best International Act Africa. Na hapa anachuana na wakali kama Wizkid, Yemialade, Serge Beynaud, Casper Nyovest, AKA, na Black Coffee

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez