Said Fella Awapa majibu wasanii wa hiphop.

Moja ya hoja kubwa katika vilinge vya muziki wa hiphop ni uwepo na Fella na Babu Tale ambao wameonekana kuwa ni moja kati ya watu wachache ambao wanakwamisha muziki wa hiphop hapa Tanzania.

Na pia kutumia nguvu kubwa kubadilisha wasanii wao wafanye muziki wa kuimba sio hiphop. Mapema leo Team tizneez haikuista kuzungumza nae ambapo Said Fella alijibu hoja hiyo kwa ufupi tu.

Msikilize hapa chini Saidi Fella

 

Pia Saidi Fella ndiye meneja wa kundi la Tmk Wanaume Family pamoja na kituo cha Mkubwa na Wanawe ambacho ndicho kilitoa vipaju vya kundi la Yamoto band.