“Sababu za wasanii kulalamika kuhusu vituo vya Radio” G Nako.

index

“Sababu za wasanii kulalamika kuhusu vituo vya Radio” G Nako.

Arosto ni ngoma yake inayofanya vyema, ukiachilia wimbo wa hapo ambao ni wimbo wa pamoja kati yake yeye, Jux na Quick Racka ambapo pia umeendelea kutikisa katika vituo tofauti vya radio na runinga.

G Nako kutoka kundi na kampuni ya Weusi hakusita kuweka wazi katika mtazamo ambao umechukua sura mpya kutoka kwa wasanii mbalimbali juu ya kubaniwa baadhi ya wasanii na wengine kupendelewa.

G Nako amesema “Ni uwelewa mdogo nadhani ni mtu kuzidiwa au watu kukuzidi katika swala zima la ubunifu.Pia kulalamika kuwa radio haipigi wimbo wako ni kukosea maana radio za watu binafsi kama wewe ulivyobinafsi.”

Hoja hii ni hoja pana zaidi ila Team tizneez itakuletea uchambuzi makini hivyo tufuate katika mitandao ya kijamii ili uweze kuwa wa kwanza kupata uchambuzi huu makini kuhusu “Lawama za wasanii katika vituo vya radio na Runinga”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez