Sababu za kuteuliwa kwa Witnes na Carol kuwakilisha wasanii wenzao Kenya.

Sababu za kuteuliwa kwa Witnes na Carol kuwakilisha wasanii wenzao Kenya.

Chama cha Muziki wa kizazi kipya (TUMA)  kimepata mualiko katika mkutano ambao utahusisha vyama vingine vya muziki kutoka nchi mbalimbali.

Mkutano huo utafanyika Nchini Kenya mwanzoni mwa wiki huu, ambao katika mkutano huo wasanii ambao wameteuliwa kuwawakilisha wasanii wengine na Tuma kwa ujumla ni Witnes na Carol Kinasha.

Akiongea na Team tizneez Katibu Mkuu wa TUMA ndugu Samwel Mbwana maarufu kama Braton amesema sababu za kuteuliwa wasanii hawa ambapo alisema

Sikiliza hapa chini.

Attachment