Roma Mkatoliki Awaandikia ujumbe wanao futurisha

ROMA-MKATOLIKI-640x495-640x495

Roma Mkatoliki Awaandikia ujumbe wanao futurisha

Viva Roma Viva ni mkwaju wake wa mwisho kutoa ambao ulifanya vyema licha ya kufungiwa kuchezwa katika vituo vya radio vyote.

Mtoto wa kigogo ulifuata lakini ni wimbo ambao haukufanya vyema kama vile ambavyo tumezoea nyimbo za Roma Mkatoliki zinavyokuwa.

Mapema leo Roma hakusita kuandika kupitia mtandao wa Twitter ambapo ameandika kuhusu watu ambao wameonekana kufuturisha katika kipindi hiki cha mwezi Ramadhani.

Roma ameandiandika

twee

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez