“Rich Mavoko alitupa tabu kuchagua wimbo” Sallam Sk

1458123690_9005_b

“Rich Mavoko alitupa tabu kuchagua wimbo” Sallam Sk

Wcb jana ilitambulisha rasmi msanii mpya ndani ya label hiyo, ambayo inaongozwa na Diamond Platnumz.

Kupitia mtandao wa Twitter katika ukurasa wa meneja wa Diamond Platnumz, Sallam Sk hakusita kuweka bayana yale machache waliokutanayo wakati wakichagua wimbo mmoja kutoka kwa upande wa Rich Mavoko.

Ambapo ameandika “Ila Rich Mavoko mbaya amechelewa kutoka sababu ana nyimbo kali nyingi sana mpaka anachanganya kwenye kuchagua itoke ipi?? #TrueStory

Siku tunamwambia Rich Mavoko tupe Nyimbo akatupa 5 na zote Hits kwa sikio langu navyolijua, akasema nyie chagueni tu”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez