Rasmi Mubenga Aanzisha Bengaz aachana na Ommy Dimpoz.

index

Rasmi Mubenga Aanzisha Bengaz aachana na Ommy Dimpoz.

Mubenga alikuwa ni meneja wake Ommy Dimpoz ambaye hata katika nyimbo nyingi za Ommy alikuwa akitajwa mara nyingi. Ila katika safari, matamasha na mambo mengi walikuwa wakionekana pamoja.

Mapema leo Mubenga ameweka wazi juu ya fununu zilizoenea zaidi kwenye mitandao ya kijamii

Mubenga amesema “Kwasasa hatupo pamoja na Ommy Dimpoz nimeanzisha group yangu ya Bengaz Entertaiment. Unajua mimi sio muongeaji ni mtekelezaji ndio maana nilimuweka zaidi Ommy Mbele.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

 

 

 

 

 

 

Source Efm Ubaoni