QUICK RACKA MEDIA NI CHANZO CHA WASANII KUBADILIKA

1053_iv86VpodhYokpnCkGrm1kKjxciKG_b
Beautiful ni nyimbo yake inayofanya vizuri kwa wakati huu katika media tofauti tofauti,Mkali Quick kutoka Mbeya city pia amewahi kutoa hits songs kama,bullet,my life,na nyingine nyingi.
Kupitia kipindi cha radio cha the jump off radio Times fm kinachoongozwa na Jabir Saleh,Quick Racka alisema,Moja ya vitu vinavyochangia zaidi wasanii wetu wa Tz kubadilika ni mfumo wetu wa media,unajua media nyingi zinaupa nafasi mziki wa Nigeria so hii inapelekea wasanii wetu kubadilika na kufanya kama hao wanigeria kwa maana msanii nae anataka kusimama kama au kusikika kama hao ili apate air time ya kutosha.Nashauri media itoe nafasi zaid kwa muziki wetu ili tufike mbali zaidi.Nasema haya kwa upendo tu na lengo ni kuona bongo fleva ipo katika ramani nzuri Africa.