Q Chillah Aeleza alivyokuwa na subira kwenye muziki.

chilla

Q Chillah Aeleza alivyokuwa na subira kwenye muziki.

Ni moja kati ya wakongwe ambao wameweza kuchangia kukua na kuenea kwa bongo fleva ndani na nje ya nchi pia.

Q Chillah hakusita kueleza baada kujibu swali la changamoto alizokutana nazo wakati anaanza muziki. Ambapo amesema “Sikuwa na changamoto ila nilikuwa na subira katika kufanya muziki wangu, maana mpango wangu ulikuwa ni hits baada ya hits. Lakini pia msanii ambaye ameweza kunifanya nipende muziki ni Prof Jay, na ni msanii ambaye amefanya wengi waimbe.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez