Prof Jay Ataja wimbo ulioleta mapinduzi kwenye muziki wa kizazi kipya.

Professor-Jay

Prof Jay Ataja wimbo ulioleta mapinduzi kwenye muziki wa kizazi kipya.

Kwasasa ni Mh Mbunge wa Jimbo la Mikumi katika mkoa wa Morogora, muite Joseph Haule maarufu kama Prof Jay.

Mapema leo alipokuwa akifanya mahojiano katika kituo cha Radio EaRadio kwenye kipindi cha Planet bongo hakusita kusema “Chemsha bongo ilileta mapinduzi wazazi walikuwa wanaupenda, ndio maana watu wanasema prof Jay nimesaidia kubadili game”

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

Source EaRadio Planet Bongo.