Prof Jay Aanza kutekeleza ahadi kwa mashabiki wake.

 

Capture

Prof Jay Aanza kutekeleza ahadi kwa mashabiki wake.

Huwez kuacha kusema ni msanii anaeongoza kuwa na hits song kuliko msanii yoyote kwenye muziki wa kizazi kipya.

Mapema leo kupitia mtandao wa picha hakusita kuweka posti yenye kuashilia jambo jema katika muziki wake ambapo ameandika”KAZIKAZI video shooting, kwa heshima kubwa sana tumeshoot video hii maeneo ya MANZESE – UWANJA WA FISI Tukiwapa tumaini Jipya na Nguvu wale wote waliokata tamaa na kuwaambia WAKOMAE kwa kufanya kazi IPO SIKU mambo yatakuwa sawa… #KAZIKAZIPROFESSOR JAY Featuring Sholomwamba produced Mesenselektatz Video by Travellah
Tunaomba dua zenu!!!

Prof Jay sasa pia ni mbunge wa Jimbo la Mikumi Morogoro kupitia tiketi ya Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez