PICHA ZA SHOW YA NASH MC SOUTH AFRICA

12274359_918864821502161_4275663496190218864_n
Hasi 15 ni ngoma yake inayofanya vizuri katika media mabalimbali ndani na nje ya nchi pia.Nashc mc ambaye kwasasa ndiyo amemaliza show zake nchi South Africa ambapo kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika “Nash Kama Pac, Kama Nash Kama Pac,Nash kama Pac!
Hivi ndivyo ilivyokuwa Mjini Pretoria Baada ya jukwaa kunikamata kisawa sawa ikabidi mashetani yavue flana na kuliamsha vibaya mno. Nawashukuru watanzania mliojitokeza katika show yangu ya juzi,Namshukuru Mungu nimemaliza salama show zangu zote sasa kilichobaki ni kuangalia Nikirejea nyumbani show ya kufungia mwaka itapigwa mkoa gani. Makamanda nawashukuru kwa kushirikiana pamoja ku Share na ku post matangazo ya show zangu,Mungu awazidishie.”
picha za show yake hizi hapa chini
12311104_918864794835497_1452199171077427791_n

12274359_918864821502161_4275663496190218864_n

12289687_918864974835479_6676860211836142388_n

12295313_918864814835495_7625509794563346219_n

12310456_918864988168811_8369363666390354943_n
11255179_918865051502138_6625764703805695928_n
twitter@tizneez
instagram@tizneez