PICHA GODZILLA NA GIGY MONEY KATIKA VIDEO YA I GET HIGH

CYruJDiUQAA88F1.jpg large

I get high ndo ngoma yake mpya mkali wa freestyle Godzilla,ambaye pia amewahi kutamba na ngoma kama,sala sala,king zilla,nataka,milele,na nyingine nyingi.

Kupitia mtandao wa Twitter Godzilla alipost picha hizi na kusema “Get high… take em back to 1579 Ad{Anno domino} video cooming soon”

Picha chini tazama hapa

CYsN4SFWsAIv3ae.jpg large

Picha akiwa na Gigy Money

zz

Picha akiwa na watu wengine katika utengenezaji wa video ya i get high

CYruJDiUQAA88F1.jpg large

Picha ikimuonyesha Godzilla peke yakebbb