PICHA 20 ZA VIDEO MPYA YA SAM MISAGO

J26A9142

Nimepania ndio ulikuwa wimbo wake wa kwanza watu kufahamu kuwa Sam Misago ana kipaji cha kurap, licha ya kuwahi kusema ni miaka mingi nyuma alikuwa akifanya muziki kabla hata ya kuwa mtangazaji.

Ni wazi Sam ameamua kwa dhati kuonyesha uwezo wake alionao katika muziki, hii ni baada ya kuamua kufanya video yake ya pili Ballin and Chillin ambayo imesimamiwa na muongozaji anaekuja kwa kasi hapa nchini Gih Cue mwenye makazi yake Mjini Morogoro.

GihCue ambaye ndiye director aliyefanya Burger Movies Selfie ya mkali Belle 9, licha ya hiyo pia Gihcue amewahi kufanya video kama Tunavuka mipaka ya TLRG, No say, Bongo land na nyingine nyingi.

Chini hapa ni picha wakati wakiwa location katika utengenezaji wa video hiyo.

J26A9141

J26A9170

J26A9121

J26A9089

J26A9049

J26A9078

J26A9202J26A9115

J26A9015

J26A9019

Kaa nasi uwe wa kwanza kutazama video hii mara tu inapotoka.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez