Pancho latino aunga mkono kauli ya Fid Q.

Pancho latino aunga mkono kauli ya Fid Q.

Ni siku tatu zimepita tangu team tizneez tuzungumze na Fid Q ambapo alieleza msanii kuwa wa kimtaifa sio kuchezwa kwa wimbo wake Mtv au Bet kama wasanii wengi wajuavyo. Bali kimataifa ni msanii kuweza kufanya matamasha makubwa nje ya nchi ambayo yanajumuisha watu wa nchi nzima na sio watu wa jamii yake kutoka nchi yake husika.

Pancho ni mtayarishaji wa muziki kutoka B hits ambaye hakusita kuweka wazi mtazamo wake juu ya jambo hilo, lakini pia kuzungumzia muziki wa kizazi kipya kiujmla ambapo amesema ni wazi muziki unakufa sio kuendelea mbele.

Sikiliza hapa chini.