PAM D ATOA UFAFANUZI JUU YA MESEN SELECTA

pamd

Pam D ni miongoni mwa wasanii wachache wanaofanya muziki wa Afropop ambapo imeonekana kuutendea haki mziki huo.

Pam D ambaye siku mbili nyuma ameachia video ya wimbo wake mpya wa popo lipopo aliyomshirikisha msanii na mtayarishaji Mesen Selecta, Ikiwa ni wimbo wa pili tangu ule wa nimempata.

Pam D hakusita kuweka wazi kwa kile kinachoonekana  kuwa midomoni mwa walio wengi, kuhsu mahusiano kati yake na Mesen Selecta.

Pam D alisema”Sina mahusiano na Mesen sisi ni ndugu na pia namuheshimu maana ni kaka yangu, pia nisingekuwa Pam D bila Mesen”.alisema

cc#www.tizneez.com

instagram@tizneez

twitter@tizneez

facebook@tizneez

 

source FNL