P THE MC “AZUNGUMZIA KAZI YAKE, VANESSA MDEE NA JUX

hqdefault

Run dsm ndio dude lake aliyofungia mwaka 2015 mkali P the mc kutoka pande za Kiwalani.P the mc amewahi kufanya ngoma kali kama,Huna jipya,Baba msaliti,pamoja na ile mixtape bora kwa mwaka 2015 ya MwengeKiwalani aliyofanya na mkali Zaiid.

P the mc ambaye siku baada ya siku anazidi kuonyesha kipaji chake katika hiphop muziki hasa katika tungo zake.

Akiongea na Team tizneez kwa njia ya simu P the mc alisema “bado nipo katika kufikiria zaidi niachie vyote yani video na audio. Lakini kuna mawili pia tunafikiria valentine kuwa siku special kwa kuachia hii ngoma.”

Aliyasema hayo wakati akizungumzia ujio wake mpya ambao amemshirikisha Jux na Vannesa Mdee.

Cc# www.tizneez.com

Instagram@tizneez
Twitter@tizneez
Facebook@tizneez