P THE MC ATAJA WIMBO ULIOMFANYA AFANYE MUZIKI

hqdefault

Na mimi ni wimbo wake unaofanya vyema katika vituo vya radio mbalimbali, P the mc ambaye ni moja kati ya wasanii wenye flow na uandishi wa pekee katika muziki wa hiphop.

Kupitia mtandao wa picha Instagram hakusita kuweka wimbo na verse ambayo ulisababisha yeye aweze kuwa msanii.

P the mc aliandika “Hii Vesre Ya Hayati #Complex Kwenye Wimbo #RahaTu Wa Ay Ndo Ilinifanya Nianze Kuchana na pia Ninunue CD Ya #RahaKamiki #2003
Fungua vitasa vya fedha mwaga laga juu ya meza/
Kama unaweza kucheza cheza track inapendeza/
Tume chill, na AY mambo tunasebenza/
Pumbavu ukijikwezaaaaa??? TUNAKUMEZA/
Eyo ni raha tu ndani ya nyumba ya wengi wachumba/
Vihoja watu kuyumba, pombe zikiwakumba/
Hakuna dosari, mambo sasa ni shwari/
Mapene yako mshazali tumia bila kujali/
Ile kijemedari, mambo ya kujivinjari/
Utamu unazidi asali mentali sichezi mbali/
Niko na DVJ Beni Boi Simple X/
super mapigo mali, Kifo cha matofali/
Zahrani ametanda, mabinti wanamganda/
Dau wanapanda mapochopocho zali kamanda/
Fanya mazabe kwa pozi, kama toto nataka/
Pima fikra zao kama havipandi we kula chaka/
Watu gado kama Zay B…… WA VISADIOO/
Mikoko imetanda huku ma benz kule ma prado/
We ruka mkwanja now Here We Go…. HERE WE GO/
Eeebwanaee muda bado unaruhusu/

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Youtube tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez