P THE MC ATAJA WASANII ANAOWASIKILIZA ZAIDI

IMG_2104
Na mimi ni wimbo wake unaofanya vizuri katika media house mbalimbali ndani na nje ya nchi pia, P The Mc ni moja kati ya wasanii wa hiphop wanaoshikiria tuzo ya mdundo ambayo alizawadiwa baada ya nyimbo zake kupata kupakuliwa toka mtandaoni na watu walio wengi zaidi.
Wengi wameendelea kuvutiwa na uandishi wake katika nyimbo zake,mapema kupitia mitandao ya kijamii Pthemc hakusita kuweka wazi wasanii ambao mara zote huwasikiliza ambapo alisema “Nawasikiliza sana, Nas, Cassidy, Jadakiss, pamoja na Amastaace”

Picha chini ya post yake

pthemc

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez