P The Mc Aeleza hiphop ya Bongo jinsi ilivyo sasa

hqdefault

P The Mc Aeleza hiphop ya Bongo jinsi ilivyo sasa

Ni moja kati ya wasanii wakali wa hiphop hapa Tanzania. Muite P The Mc wimbo na mimi ndio wimbo wake unaofanya vyema katika vituo vya radio hapa nchini.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook hakusita kuandika mtazamo wa vile hiphop ya bongo ilivyo sasa. Ambapo ameandika”

“Sku hizi ‪#‎hiphop imekuwa ni:.
-Kutukana watangazaji wasipozungumza habari zako
-Kuwachukia wanaokukosoa
-Kutojenga ushkaji na walio nje utamaduni huo
-Kuvaa nguo zimeandikwa harakati lakini harakati zenyewe hutuoneshi
-Kuangalia nani kafanya nini umchafue mtandaoni ili upate ushujaa
‪#‎TooBad
Mda huo ungekuwa ushafanya vingi vya kimaendeleo aisee”

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez